Friday, September 14, 2012

LOOK OF THE DAY MAMA JUNIOR AND MICHELLE

Mama yake  Junior na Michelle after giving birth baby Michelle ndio mwonekano wake kwa sasa mwanamke kujipenda sio ndio unajiachia kuanzia mimba mpaka kujifungua hainogi jamani tujipende wanawake wenzangu kuanzia mimba zetu mpaka kujifungua kwetu.... hahaha i cant wait siku nitakapo kuwa na yangu nitajipendajeeee. Nimezungumzia kiroho safi.

No comments:

Post a Comment