Saturday, March 22, 2014

NEW MASSAGE...NEW MASSAGE READ THIS PLS.

Hello: huwa sipendi kuandika ujinga ujinga kwenye Blog yangu but sometimes inabidi cz kuna wanadamu wana roho za kwanini na maisha ya wenzao, ivi mtu mzima na akili yako unaona raha kumchafulia mwenzio jina kwenye others Blogs bila sababu? wivu sio dawa ndugu zangu sana sana unajitia gundu tu na roho za kwanini unaikunja roho kwa maisha ya watoto wa Ogutuz pole yako endelea kuikunja na mungu anazidi kukulaani kadri unavyo ikunja na yao yana wafungukia wana songa mbele. Mtu asiende disko kaenda kujiuza asijinafasi kisa nyie wenye roho za kwanini haya endeleni mtakaa mkiwaesabia... na wivu ukizidi sana kanye Boga au Moto then upumzike..Then niwatoe wasiwasi wengine mana naona wakiona comment huko kwenye others Blogs zina wasema na zina vidoti doti moja kwa moja wanaisi Clara huyo, ndugu sinaga huo mda mchafu wakumchafulia mtu jina lake kwa kipi sana sana? nipo busy kuanda Future yangu sio kujuwa unaishije,  so ishi na amani ya bwana yesu vidoti doti huko nowdays naviona ni vingi tu sio kwenye Blogs peke yake hata IG. I think kama ningekuwa nakuonea wivu maybe unavyo isi ningekuonea tangu kipindikilee i think unajuwa nikipindi gani na ninakumbuka hata kunasiku uliwai kuniambia Clara sikutegemea kama unaweza kuwa na roho iyo nikakuambia haya ni maisha tu nikubanie iliiweje? so i'm still Clara yule yule ndugu sijabadilika ishi na amani ya bwana yesu usije ukawa unajitwika mzigo wa thambi bila sababu unaambiwa palilia kaburi lako ukiwa hai, nilitaka nikutoe wasiwasi usije ukawa una haha kila ukiona vidoti doti huko...Kama umenisoma OKAY kama ujanisoma palia kaburi lako na maka ya MOTO...OVER.

No comments:

Post a Comment