Wednesday, February 22, 2012

OUT AND ABOUT ON A WEDNESDAY...




                                             Me and my boyfriend jeans! And loafers... Lol

17 comments:

  1. Mbona watazidi kuchukia waonyeshe hao

    ReplyDelete
  2. B dd utaki mchezo Kila nikihingia nakuta mambo mapya big up nimenyosha mikono juuuuuu mie wa C B E

    ReplyDelete
  3. Mpz we msafi nyumba safi kwa nn visiwachome

    ReplyDelete
  4. bayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani bayaaaaaaaaaaaaaa sasa nakuelewa style zako crazy mtu timamu havai madasodaso kaaaaa mbavu zanguu uwiii jamaniiiii,nywele chacha kaah mamaaaa uwiiiiiiii natishwaaaaaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ss wewe unatishwa na unafuata nn humu na bdo atakutisha sna na huku una mkubali kimya kimya

      Delete
    2. We nawe vp umekurupuka km chafya

      Delete
    3. Wewe ni HATER and LOOSER..Unatamani kuwa yeye,na hutakaa umfikie,wala ufanane nae.Utaishia kukasirika tu wewe..Mwaka huu mbona unalo?na ndio kwanza mwaka umeanza.Watu kama wewe,huwa hawajifunzi kamwe.

      Delete
  5. hahahaha wivuuuuuuuuuuuu utakuuwaa, nilikupa live umejiona mjinga umekuja kivingine huwo woteeeeee wivuuuuuuuu, ukweli utabaki pale pale unipati hata kwa dawa, endelea kuangalia watu tunavyo juwa kunyuka pamba tangu kitambo...

    ReplyDelete
  6. Ss wewe unasema baya kwenye blog yke unatafuta nn

    ReplyDelete
  7. mai wii pendeza sanaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. maskini yani umevaa kisasa ila hujapendeza, huo mshedo km barmaid anyway pengine ndivo ulivo hata uvunhje kabati bado hushtui na uso wako wakiuutuuzima (kizee)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yn mpk hpo umisha mkubali kwamba katoka kisasa haina mjadale

      Delete
  9. imebidi unikubali kumbeumeona ninavyo gonga pamba naenda na wakati mwenzio hahaha najuwa kupangilia mwanzo mwisho na nitakuto roho mwaka huu na huo wivu wako wakishambaaa. usikose kuendelea kupita pita u copy mavituzzz, daaaaa naona nakunyima usingizi na amani mwanzo mwisho na badooooooo utaisoma number mwaka huuu.

    ReplyDelete
  10. that my dada babe <3umependezaje wachana na uyo mtu hapo juu shep yake yenyewe mlango kichwa kama kikaango MAMA P

    ReplyDelete