My fav! Louis Vutton from France... Just need 3 more lol.. I love me some desgner things...
Wednesday, April 25, 2012
TO YOU HATER MWENDAWAZIMU...
Hahahaha mwenda wazimu mbona mwaka huu wako unaishu ndio mana roho inakutoka kwa maisha ya wenzio manina zako, ungekuwa unakazi hata ya kifagio ungekaa kupiga vikopo usiku na mchana hahaha wadanganye hao hao wakwenu huko tandika ndio wanakuona mungu mtu wao ila sio watoto wa SWEDEN wanao kujuwa ndani nje, huna kazi mwanamke umekalia umbea na mapombe ya bei rahisi na kuzurura kila kukicha kwenye nyumba za watu na kulalwa hovyo na kila mwanaume nyoooo ungekuwa na kazi ungekuwa namda huo?Wenye kazi zao wamekaa kimia wewe sasa mwendawazimu usie na kazi umebakia wivu na maisha ya watu pumbavu zako na badoo mwakauhuu mbona utaokota na makopo kabisa kama maisha ya wenzio yanakunyima usingizi?utabakia hivyo hivyo kunywa pombe, kunenepeana juu kama mnyanyua vyuma chini huweleweki umekaejee namabega yako mapana kama popo bawa hata uwende GYM hubadiliki N'gooo hilo nijiumbolako na roho yako mbaya manina zako. Kifupi utaisoma number mwaka huu kwakirumi muke ya kibabu wenzio twasonga mbelee.
Sunday, April 22, 2012
MY SUNDAY LOOK CHIL AT HOME..XOXOXO
My self mother blog without makeup.. I like my beautiful brawn skin...brown skin you know i love you brown skin...lol
Saturday, April 21, 2012
LET'S TALK ABOUT LOVE..XOXOXO
Hello Guys!! like i said before on my profile, my blog will focus on fashion and different life styles. so today i would like to share with you guys the history of me and my babe...Jamani i was so lucky to meet this beautiful young man..it will always be a beautiful thing that happen to me..the man ananipendajee? mpaka najiogopa.. nimewahi kupendwa lakini hapa nimwisho sijawahi ona upendo kama huu guys... nadekezwa kama mtoto nitake nini kwa my Babe nikose hijawahi tokea.. my babe kila akitoka kazini na zawadi mkononi ya sweet babe wake. During weekends naamshwa na breakfast kitandani, nitaandaliwa lunch mpaka dinner .... ooh!!! My God i am speechless about this beautiful love i get from my babe.. and now we are little bit far from each other and we miss each other so much, silali halali akinipigia simu tunaongea guys even two hours ukija kwenye sms sasa ndio kabisa this is the one of he is sms guys My Baby your so special to me my heart and my soul burns for you.. i miss you like crazy my love.. i love you more than anything i wish you were here by my side baby. Ok guys the only thing that i want to say i am a lucky girl to meet someone who loves me more than anything. I cant even explain kwani upendo wake nizaidi ya upendo kupendwa raha jamaniiiiiii na ukipendwa pendekaaaaaa..Na nyie mkipendwa mpendeke wadau wangu tena namshikamane haswaaaaa mana kuna magubegube huko mitaani yanawinda na hajafanikiwa zaidi ya kukamatia vibabu..
I love you... xoxoxo
Together forever
Mother blog herself...
That's my babe! I love him to death...
I love you... xoxoxo
Together forever
Mother blog herself...
That's my babe! I love him to death...
Tuesday, April 17, 2012
KEEPING UP WITH THE OG FAMILY...XOXOXO
Our very own OG member spotted with office wear. She's working those sexy legs and looking cheek in this ensemble..
OG's next top model! Lol she's got it all... The legs, the face and the bodyMother blog herself. I love the makeup.... Took me a while lol
Always OG's Family tunajuwa kutokelezea no kubahatisha....xoxoxo
Monday, April 16, 2012
JAMANI NAOMBA KUULIZA SWALI...
Mimba ya mwenzio inaweza ikakunyima usingizi? cha ajabu kunawakaanga sumu mimba ya mwenzao imeshaanza kuwanyima usingizi na malaika wawatu hata ajazaliwa bado siniupumbavu huo, na wakaanga sumu wenyewe wanaishi na vibabu ndio mana hata mimba hawawezi kushika cz babu mbegu kwishney Wamebaki na mawivu tu na mimba za wenzao na kulalwa hovyo na kila mwanaume.
Saturday, April 14, 2012
SATURDAY COUPLES THEDY LAIZER WITH TOBIAS AND COCO WITH ICE T..
Cute mamma Tobias xoxoxo
I like this couple jamani coco is beautiful and a sweet girl and she has a great guy, I just hope this couple stays together forever, they are rely luck to have each other..like me with my babe xoxo
Thursday, April 12, 2012
KEEPING UP WITH THE OG FAMILY....XOXOXO
Mrs Gren..xoxo
Sisters sisters... i miss you guys..xoxo
Na shemeji yao.... i miss you my babe
Funny pic...Matild and Peninna...xoxo
Sisters sisters... i miss you guys..xoxo
Na shemeji yao.... i miss you my babe
Funny pic...Matild and Peninna...xoxo
Saturday, April 7, 2012
BREAKING NEWS: STEVEN KANUMBA HATUNAYE
Unfortunately, the great Steven Kanumba katuacha. As I was the 3rd to share this to the public I could not believe what I heard when my sister told me. My sister is really into news.. And she heard this early in the morning.. It's a shock and it's a real bummer. He was loved by many and I'm sure he'll be missed. May his soul rest in peace, Amen.
Friday, April 6, 2012
PICTURES TAKEN AT RANDOM PLACES AT DIFFERENT TIMES
Here at my sister apartment
out and about in my army hand bang and shoes love it.
Showing some love to our little princess Naila xoxoxo
KIDS AT KUNDUCHI HOTEL AND FUNKYS....XOXOXO
Peninna...I miss u my cute model
Peninna and Matilda.. i love you both
Manuel playing with sand
Matilda pose simchezo
Manuel at jumping case
Wednesday, April 4, 2012
JOCYE MIDTGAARD TRIP TO DENMARK XOXOXO....
kitu cha unyayo mwekundu CL
Stunning looking awesome...so simple yet so cheek..loving it.
Joyce with wakwe zake... muke ya muzungu
Pop time...kula raha muke ya muzungu maisha yenyewe mafupi.
Subscribe to:
Posts (Atom)