Natamani kama nizigandishage iyo Friday Saturday na Sunday mana simchezo kuamka hasubuhi na hili baridiiiiii.....ggggrrrrrrr
Friday, January 31, 2014
THE WEEKEND LOOK..XOXOXO
F°°°k the R&B late the Rock & Roll
Hello my fashionistas..its almost weekend as usual choose your style for the weekend look, you can rock simple and get some perfect look..have nice weekend my fashionistas...xoxoxo
Sunday, January 26, 2014
FASHIONISTA FATMA 8 FIVE..XOXOXO
Utafikiria mpole vile hahahah wakutibue waone
That belt mummy
I want this look my partner
Petit man wakuache, Fetty and Jux fetty brother... every body is busy with phone.comYahh!! that my bisshhh, my fashionista fetty young business woman.. partner you rock it everything on point as usual but nakukubaligi unajuwa fashion partner tangu kitambo.com
Mommy and son sunday look casual.. xoxoxo.. Moses alivyo tulia utafikiria mpole ivyo hahahahaha
Thursday, January 23, 2014
STREET STYLE..XOXOXO
Long leg and they don't care team long leg, everything on point fashionistas
Riri you rock it my super star..i'm in love with riri guys she is my number one star
Street Style... I'm in love with street style always..xoxoxo
Monday, January 20, 2014
YALIOJIRI INSTAGRAM WADAU WANGU SIKU YA LEO
PREZZO AACHWA UCHI NA DEMU WAKE WA KITANZANIA......LOL
Uwii hao waliotagiwa hapo huyo dougiemasta12 na huyo matikibokoyao wakiamka nahisi intastagram itawaka moto,,,Ogopa hizi number kwa matusi....hahahahah
Baada ya mapenzi ya Prezzo na demu wa kitanzania kuisha,
Prezzo kwanza alianza kwa kuweka picha za Goldie kusema ana mmiss
alafu akaweka ya Halle Berry na kumsifia uzuri wake na matiti yake...
Ndo hapo sasa yule aliekuwa demu wake alipocharuka huko instagram
alihisi prezzo anamsema yeye matiti yake sio mazuri basi na yeye akaweka picha ya mwanaume yupo uchii wa unyama na kibamia
na caption hizo......lol...
Akidai kwamba bora yeye matiti yake anaweza kuyafanyia plastic surgery ila yeye jamaa hicho kibamia atakifanya nini???hahahaha
Kwenye hii blog hatuwezi weka picha za uchi wa unyama so ikanibidi ni blur hiyopicha...lol...
Alafu jamani mbona mnapendaga kunitag sana kwenye haya maumbea ya instagram, yani huwa mnanitag mara ishirini kidogo...hahahahha
Prezzo achana na mademu wa Kitanzania wamedata ona sasa kila mtu kajua maumbile yako....
We dili na kina Huddah Monroe huko Kenya wanajua kuvumilia, unawatenda na kuwatusi ila wako kimya ,wakibongo si umeona alivyokutenda....lol.....
Dada wa Kitanzania akaendelea kujitetea kuwa matiti yake mazuri although Prezzo ameimply otherwise....
Pia alidai yeye ndo kam dump jamaa.....lol...
Akamalizia kwa kuweka picha ya mpenzi wake mpya.....lol.....
PS: Muwage mnasikia acheni kutangaza relationships zenu on social media ona mapenzi yakiisha mnavyohaha kuonyesha nani kamwacha nani
nani ana kibamia nani ana matiti ndala ndefu mpaka kiunoni....lolest... mnaaibishana bure watu wana enjoy movie......
UPDATE:
BAADA YA KUAMBIWA ANA KIBAMIA PREZZO AJA NA HII....LOL..
UWIII KAAMUA KUJIITA KING MSWATI KABISA...
HAHAHAHHHAHAHAHA, HUYU JAMAA AMEDATA KABISAA.....
Wamwachieage tu Huddah huyu jamaa maana wenyewe wanawezana na uchizi wao....lol..WADAU NIME COPY KWA KAMANDA WETU MANGE..
Wednesday, January 15, 2014
PHOTO OF THE DAY..XOXOXO
Our young fashionista Naila.. ooh!!! mummy you rock it simple and perfect sweety my up coming model..xoxoxo Love youuuu my baby
Subscribe to:
Posts (Atom)