Monday, April 16, 2012

JAMANI NAOMBA KUULIZA SWALI...

Mimba ya mwenzio inaweza ikakunyima usingizi? cha ajabu kunawakaanga sumu mimba ya mwenzao imeshaanza kuwanyima usingizi na malaika wawatu hata ajazaliwa bado siniupumbavu huo, na wakaanga sumu wenyewe wanaishi na vibabu ndio mana hata mimba hawawezi kushika cz babu mbegu kwishney Wamebaki na mawivu tu na mimba za wenzao na kulalwa hovyo na kila mwanaume.

12 comments:

  1. Wera weraaaa wapi mwandawazim mimba abebemwingine we ushindwe kulala umri wako unaenda mtoto huna haaaaa jibange

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha mwendawazimu mimba wabebe wengine yeye kakaa ananengeneka na roho ndio mana bayaaaa bausaaaa juu neneee chini jembambaaa kama penseli na matako yake pasiiii kama kayasahau kwenye kochi la babu yake wakizungu mnuka uvundo ambaee hata atembei nae anaona aibu.Pumbavuuuu muke ya kibabu wewe.Fancuro abracado coco.

      Delete
  2. Clara me ndo nimeona kuna watu duniani wana roho za Ajabu sana, kweli kheri uzuri wa roho kuliko wa mwili manake ni Kama kasha zuri lililopamba mzigo wa mavi, yaani mtu anaona kasha anafurahi kumbe ndani harufu tu oh my God I hate hao watu nataka tapika while naandika hapa. Sasa kiuno akate yeye mimba abebe yeye wewe ule maembe na udongo kha! Binadamu wanamna hii wanakera sana. Mungu atawachapa na viroho vyao vyeusi ka mikaa.

    ReplyDelete
  3. Eee nani tena mwenye wivu na mimba za watu

    ReplyDelete
  4. watu na bahati zao jamani,muombe mungu na wewe akupatie.mama Amina

    ReplyDelete
  5. Jamani masahaneni yeye umri unaenda ka baki na mipombe hana mbele wala nyuma mume mzee kama anaubavu aweke picha bac nyooo wapi kibabu akijiwezi

    ReplyDelete
  6. haha kachanganyikiwa na maisha hana hata rafiki kazi kubadilisha wavuta bangi na wameisha mchoka wanaona kama mwanaume mwenzao,lol gube gube liloshindikana

    ReplyDelete
  7. kwi kwi kwi mimba matako kila mtu anayo si.alipata akatoa sasa ya mwenzake inamuuma nini mitoto.ya.tmk yani nuksi ipo ipo tu haina mbele wala nyuma ovyoooo manina zake

    ReplyDelete
  8. heheh eti limepiga picha face book limevaa swimwear yesuuuu namaria nilicheka yani kama dudud juuu.hilo chini sasa ohhjj yani limekosa wa kumdoo mana wote kawamaliza sasa anajinadi amwache mwenzake

    ReplyDelete
  9. Jamni na hio neno la sweden ss ni balaa tupu mmmmh utasema yupo paradies yn shambaaa baunsa juu mpana kabakia ku piga pic kwenye nyumba za wezake ndio mahana alipigwa na shoga ake wap yule

    ReplyDelete
  10. Hahahaha Ndio mana alipata kichapo kwenye boti waka mtoa njwele kichwani !! Huyo demu ni mshamba sana tumemchoka kwa kweli yeye pombe tu kila siku!! Mimba yA Dada wa wato inamkosesha usingizi.

    ReplyDelete