Saturday, April 21, 2012

LET'S TALK ABOUT LOVE..XOXOXO

   Hello Guys!! like i said before on my profile, my blog will focus on fashion and different life styles. so today i would like to share with you guys the history of me and my babe...Jamani i was so lucky to meet this beautiful young man..it will always be a beautiful thing that happen to me..the man ananipendajee? mpaka najiogopa.. nimewahi kupendwa lakini hapa nimwisho sijawahi ona upendo kama huu guys... nadekezwa kama mtoto nitake nini kwa my Babe nikose hijawahi tokea.. my babe kila akitoka kazini na zawadi mkononi ya sweet babe wake. During weekends naamshwa na breakfast kitandani, nitaandaliwa lunch mpaka dinner .... ooh!!! My God i am speechless about this beautiful love i get from my babe.. and now we are little bit far from each other and  we miss each other so much, silali halali akinipigia simu tunaongea guys even two hours ukija kwenye sms sasa ndio kabisa this is the one of he is sms guys My Baby your so special to me my heart and my soul burns for you.. i miss you like crazy my love.. i love you more than anything i wish you were here by my side baby. Ok guys the only thing that i want to say i am a lucky girl to meet someone who loves me more than anything. I cant even explain kwani upendo wake nizaidi ya upendo kupendwa raha jamaniiiiiii na ukipendwa pendekaaaaaa..Na nyie mkipendwa mpendeke wadau wangu tena namshikamane haswaaaaa mana kuna magubegube huko mitaani yanawinda na hajafanikiwa zaidi ya kukamatia vibabu..

                                                           I love you... xoxoxo
                                                                      Together forever
                                                                Mother blog herself...
                                                     That's my babe! I love him to death...

14 comments:

  1. mai wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shikamanaaaaaaaaaaaa babu ukipendwa haswa raha yake kushikamana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks my wiiiiiiiii wangu, umeona eee raha yakupendwa kushikamana.

      Delete
  2. my ndugu,yani shikamana kabisa shemu wetu tunamkubali kabisa hongera sana ,wawindaji hakuna nafasi kupendwa ndiyo huko

    ReplyDelete
  3. Hongera Clara, tumshukuru Mungu na tushikamane kweli. Hongera tena Mami. Pendeka mwaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks Gai wangu,kweli mwaya kumshukuru mungu muhimu napendekajee.

      Delete
  4. Wow !!!Great!!! You have a good collection of best photos.Hope you are enjoying your life properly.You are lucky man. sell my house

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks, yah i m the lucky one and i m enjoying my life.

      Delete
  5. enjoy your life my dear one,shikamana kabisa.Mdau LONDON

    ReplyDelete
  6. Unatakapaper tuhunalolote.msonyooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaha mbona karata hapa kitambo tuu, usilolijuwa ni sawa na usiku wa kiza, paper libembeleze wewe uliepewa na kibabu ambacho hata chumba kimoja hamlali chapombe mkubwa ndio mana baunsa kama mnyanyua vyuma.

      Delete
  7. Mamito acha na huyo bonge Nyanya alina kazi yA kufanya. Bona alijawai kutuwekea picha yA kibabu chake? Kibabu kinanuka mkojo.

    ReplyDelete
  8. Kupendwa raha my model..kamatia hapo hapo..Love is all u need asikuambie mtu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks my miss umeona eee mana me na wewe najuwa tunavyo pendwa na wachumba zetu...mbona raha.

      Delete