Saturday, May 5, 2012

KEEPING UP WITH THE OG FAMILY....XOXOXO



 The OG shopping for the summer time...keep shopping babe ya Side its your  time to shine
                                                    The modern family...xoxo
 
Beautiful as always..   

24 comments:

  1. Tingisha km himejaaaaa wapendeza mamy

    ReplyDelete
  2. Dereva wa pikanya taratibu mkono na paja mashallah upaja jeans imekaa ungetupa na poz la nyuma

    ReplyDelete
  3. Uyo mtoto wa kike kamepozi vizuri. Haya mama nakuona hiyo inaitwa homa ya jiji .... Umenogaje

    ReplyDelete
  4. mamma na wana mmetokelezea mbayaaaaa....nime wamissijeee wanangu.

    ReplyDelete
  5. Mama na watoto mmnenogaje jmn uyo mtoto wa kiume anaonekana mtundu hahahah

    ReplyDelete
  6. Umependeza simple mwenyewe unaga madude mengi mama wawili naona umeona uweke na wawili wenyewe hahhh

    ReplyDelete
  7. Utumii nguvu Kila kitu kimekutoa. chicha

    ReplyDelete
  8. Akazane na miguuni huo mkorogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mti wenye matunda mengi ndio upigwa mawehahahaa

      Delete
    2. Donge la nin panda juu nenda ukazibe

      Delete
    3. usipende sifa bila kasoro magoti,mikononi na miguu ni meusi atafute njia mbadala ila kupendeza kapendeza na nimrembo

      Delete
    4. Acha wivu kapake na wewe mkorogo. Mijitu mingine bwana. Umeona mkogo Tu .uwezi kumfikia

      Delete
    5. Asante kwa kuniona Mie mrembooo umenikubali kaa mkao wa kula picha ya kimin hinakuja au kaptura huone na chin ya matako niliweka omo kwenye mkorogo ukadunda

      Delete
  9. Nitumie hicho kichen cha mdudu saka saka na mm sijakipata ebu jibu inbox yangu

    ReplyDelete
  10. MDau. U.S shoga wa dada yakoMay 6, 2012 at 7:50 PM

    Mdogo wangu umependeza umekuwa mdd andelea kujipenda hivyo hovyo na watoto wako l like that kwa kweli

    ReplyDelete
  11. Pendeza wewe hips hatariiiiiii

    ReplyDelete
  12. Sexy and simple hicho kigaun jmn nataka

    ReplyDelete
  13. umependeza sana mama na watoto wako.mimi nakupenda sana@mdau london

    ReplyDelete
  14. Dada mzurii ,nimempenda na watoto wake!

    ReplyDelete
  15. umetokelezea my ndugu,kila kitu mahala pake no makarokoro.Mama Amina

    ReplyDelete
    Replies
    1. No. No. No. Makorokpcho kabisaaaaaaa wap mama amina nakati ya ......... Nakumisigi pipo wanapresha

      Delete
  16. Mwanamke ushep watoe rohoo mama

    ReplyDelete
  17. Haters kazi kwenu umefanana na wema. Yani hapo piga blich ya nguvu uwaumize wanao umia hahaa

    ReplyDelete