Booty Shorts...
Loafers I love!
Booty shorts paired up with fish net stockings! Fabulous..
Moi...
Me love booty shorts! Paired up with matching purse and shoes..
umetoka mchicha
ReplyDeletesio mchezo awakuwezi mmmh
ReplyDeletenaona umeona umweke mshaba kimoka kipo kwenye fashion
ReplyDeletejmn utafanya yule mshanba wako asilale kila saa roho impwite
ReplyDeletewe clara hata wa ulaya wengine wamechoka ongera shoga ni mei wa dubai
ReplyDeleteClara umenogaje ndau wako holland
ReplyDeleteze unywele upensi yn vyote noma tobaaa na ze lipstick mmmh me luv u sna mrs ,,,,,,,,,,,,,, nakumisije usisaau vitu vyangu MAMA P
ReplyDeletemshambaa anazani sie tunavaa kwakuvunja kabati kama yeye, yeye kumbuakitaka kupendeza mpaka avunje kabati, sie ndio kawaida yetu kupendeza kila siku atujakariri kuvunja kabati kama yeye. thanks my wadau
ReplyDeletejmn msaheme uyo mshamba wa kuvunja kabati kaishazoea kutoka kipasnaa mpaka avunje kabati ndio anaona kapendeza sasa wewe umisha zoea kila cku unapendeza asije vunja na nyumba 2 sasa mfyuuuuu MAMAP
ReplyDeleteBabe ya Side nimependa hiyo whoooaah i cant wait kurusha new couple in sweden hahahaha watajibebaje babe ya side nawakubaligi wote watajinyonga mwaka huu na miwivu yao, vitu sisahau hata kimoja we jiandae tuu kuvipata. THANKS MY WADAU XOXOXOXO
ReplyDeletemama lindi hizo nywele plastic toa
ReplyDeletewe hata hio plastic huna hahaha mwezako kapendeza roho inakutoka mmmh watu wengine bwana
Deletemuke ya warabu mamap
ReplyDeletehalooooo umeona babe ya side rohoooooo imeruka itawaruka sana na badoooo na msipo changanyikiwa mwaka huu sijuwi, mtu mwenyewivu sikuzote anamendeleo na akiwanayo nimadogo sana.
DeleteNa mlimtoleaje macho mwarabu haaaaa mpk hm kwake mnamfuata haaaaa LKn jamaa bdo tu kanishikilia Mimi vilikuwa binawaumanye na ukijiangalia sheria ulikuwa huna bac we mara dikupe pande mara nyoooo rohoo hilikuwa inakutoka maskin
Deleteyn ndio kwanza asubui wajipanguse 2
Deletewivu.com, wewe hata huyo mpingo mwenzoko huna umekaa unajizeekea tuu hapo.
ReplyDeletePendeza sana ma Wii watajibebaje!!
ReplyDeleteMAMALOSHI @ZUNGU LAROHO.HAHAHHAHAHA UKIONA MTU ANAKUPIGA MADONGO UJUE UMEMZIDI KITU FULANI YANI ENDELEZA MAPIGO MULEMULE ..CLARA USIRUSHE MANENO WEWEMTEMBEZEE PAMBA TU .THEN KAMA ANGEKUWA.JEURI AKUJIBU ATUME PICHA ZAKE TUMUONE ANACHONGA SANA HYU .MUNGU AKUBARIKI URUDI TUZIVAE ZAIDI HIVYO NAVIITA USINIMIND. VAZI LANGU LA HESHIMA HILO NAFWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.NAPITA TU UMEPENDEZA KAMA MUMEO KAKUSIFIA NA FAMILIA YAKO HAPOSASA INATOSHA .KWISHNEY .ULIMPA ULE MSG MDADA
ReplyDeleteJamani mbona raaaaaaaaaaa yan maraaaaa
ReplyDelete