Thx kwa kweli nilikuwa napenda color hila kuzipangilia ndio hilikuwa kasheshe coz lzm uwe mjanja la sivyo itakuwa mix ya utumbo ngoja nami niaze za zngu thx
asante mdau wangu, anonymous umeona color kombo inatakiwa upangilie color zote zinatakiwa ziwe kali rangi ziwake sana lakini zikipooza always inakuwa kama mchafu.tutaliongelea ilo soon.
Dah umepangilia poa hizo rangi mwaaah
ReplyDeleteThx kwa kweli nilikuwa napenda color hila kuzipangilia ndio hilikuwa kasheshe coz lzm uwe mjanja la sivyo itakuwa mix ya utumbo ngoja nami niaze za zngu thx
ReplyDeleteasante mdau wangu, anonymous umeona color kombo inatakiwa upangilie color zote zinatakiwa ziwe kali rangi ziwake sana lakini zikipooza always inakuwa kama mchafu.tutaliongelea ilo soon.
ReplyDeleteDah kimoka hicho sio mchezo kizur
ReplyDeletehehehe thanks mpenzi kimoka kipo kwenye fashion hicho.
ReplyDeletejamani clara umependeza kama kawaida yako clara wa pamba unakumbuka jina ilo ulibatizwa chuo cbe.
ReplyDeletehehehe umenikumbusha mbali mpenzi nalikumbuka jina, senkyuuu
ReplyDeleteClara my model as usual hukoseagi..Me admire u always kwa kupangilia..
ReplyDelete