Thursday, March 15, 2012

FASHION FLASH STYLE WITH EDINA XOXOXO...

                                                              You rock it always
                                                              Edina in Bongo
                                                   Everything on point  xoxoxo              

21 comments:

  1. pendeza sana mdada upo juu kama obama.haya ndiyo mambo ya kutuwekea. MDAU WA LONDON

    ReplyDelete
  2. Sio ki koti cha wazee hicho

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha uchamba.ilo koti ni polo style.wewe upo dunia gani.edina wa ujerumani

      Delete
    2. nenda duka la zara kamautaweza ata kulinunua nyoooooooooo.upo dunia gani ata fashon ujui

      Delete
  3. Replies
    1. wewe mzuri,weka picha yako tukuone.mimi ninajiamini ndiyo mahana nimemeka picha yangu.sihishi kwa kubahatisha maisha.kaoge mshamba

      Delete
  4. Mbona umekunja uso umelamba limao huu ndio mkorogo wa wapi vile

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaaa umenichekesha sana ,unaonekana ukiona mtu kapendeza ni mkorogo.kwani wewe upoje mwili wako kama wewe umepauka si wote.nimeridhika NAmaisha yangu ,naona unataka kunijua naishi ujerumani naona umenipata

      Delete
  5. Eee ulienda Tz we ukwenda kwenye vi dimbwi kama wale watu weusi km mkaaa wajaluo mpingo wa kijiji upo bwana alinitaka kwenye boti hiloooo una mvuto tuaribu nagonga vyuma

    ReplyDelete
  6. Babe ya À,,,,,, umependeza no no makorokocho

    ReplyDelete
    Replies
    1. kabisa my ndugu no makorokocko .edina

      Delete
  7. Mwanamke kupendeza jamani

    ReplyDelete
  8. kuna watu wanawivu jamanii na maisha ya wenzao jitaidini tuu na nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nakuunga mkono mdau yani watu wanawivu na maisha ya watu.na nyie kazaneni kwa bidii mtapata

      Delete
  9. my ndugu wewe nyuka vitu achana na washamba wakale mavi kwa kijiko. Thanks my wadau xoxoxo

    ReplyDelete
  10. Edina umependeza sana ma love,mkorogo unaonekana unawanyima watu raha haha hata kama unapaka si wewe hao inawausu nini?Yaani kunawatu wanapenda sana maneno ila hao wenyewe hali zao mhh.miamor

    ReplyDelete