Saturday, March 17, 2012

MY CASUAL LOOK OUT AND BOUT AT SLIPWAY XOXOXO



                                             My yumm yummm diner at slipway

10 comments:

  1. kweli hiyo ni casual mother blog umependeza

    ReplyDelete
  2. My Wii wewe ni noma kwanza kwenye blog yako haurudii nguo nimekukubali pendeza mno

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha thanks my wiii wangu waukweli mwingine copy, niwewe daima.

      Delete
  3. jamani umependeza shoga langu

    ReplyDelete
  4. dah afu cjizingatiaga hilo oooh hv kweli uyu arudiagi nguo chezea muke ya muzungu

    ReplyDelete
  5. full kupendeza my ndugu.hakuna kubahatisha.mwenda huo huo.@edina

    ReplyDelete
  6. Hivi mbona umekondeana sana tunasikia una ngoma live.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio na ngoma na soon nafungua bendi, unataka ninenepeane kama wewe chizi juu mpana hata mabaunsa wana hafathali chini mapaja membamba kama penseli na matako huna uliyasahau kwenye kochi hahahaha janamke shepu bayaaaaa mibega mipana yani ilimradi tuu.

      Delete