Wednesday, March 21, 2012

EDINA AND FAMILY IN GERMANY...

                                  Love the color contrast... Didn't know yellow, blue and red go so well toghether
                                       So young,,,,,, Yet, so stylish! Love this lil kid! Soooo adorable
                                                  Love your house edina! So contemporary... Very modern!

13 comments:

  1. yani nampenda huyu dada na wanaye,wala hajui kulinga roho yake nzuri sana.umependeza sana na watoto wako,MAMA ZARA WA UJERUMANI

    ReplyDelete
  2. Pendeza mdada. Umeona ee Clara humu tunafundishana humu humu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haswaa dear wangu siu tani na siuwongo xoxoxo.

      Delete
  3. umependeza na mwanao, nyumba nzuri sana hongera

    ReplyDelete
  4. Me love u à LOT My dia.miamor

    ReplyDelete
  5. asanteni sana wapenzi

    ReplyDelete
  6. Wapi my ndugu Babe ya Side, mamma nakuaminia na wewe kwa CRIBS lete tuisabaratishe ndani ya STREET najuwa MIO imeshuka humo tuwa umize wakaanga sumu na mawivu yao hahaha. HONGERA MY NDUGU EDINA KWA CRIBS ILIOENDA SHULE...WAKAANGA SUMU WAMEBAKIA BLA BLA BLA NYINGIII HAWAKUWEZII MWENYEWE UNAGONGA PAMBA,WATOTO NA CRIBS SIO MBAVU ZA MBWA.MBONA BATA ELEWA MWAKA HUU BASIPO ELEWA BAPUMBAFUU.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDUGU NIPO NDUGU HAHAHA UMENIACHA HOI ETI NA MIMI NIRUSHE CRIBS YANGU YAP YAP KITU CHA MIO NDANI YA MJENGO CHEZEA MIO IMETULIAJE NAIPENDAJE NYUMBA YANGU ,,,, NITAKURUSHIA MY NDUGU WAPI MAMA AMINA NAKATI YA JERUMANI WATU EEEEEEEEEEEE

      Delete
  7. Chezea inte Angela Merkel.........

    ReplyDelete
  8. mwanamke kujiamini dada umependeza na wanao mpaka nyumba yako imekwenda shule.wanawake tujifunze,sio kutwa kutukana watu na kuoneana wivu,dada hongera zako nimependa kila kitu na sebule yako ya ukweli.sio nyinyi kutwa bla blaaa nyingi hakuna chochote.MDAU WA LONDON

    ReplyDelete
  9. clara Tobias nakupendaje ,wakaanga sumu na mawivu yao wamekuwa wadogo kama pilitoni,chezea edina ya ujerumani picha zinajieleza.dada umekwenda shule.hongera sana.sheila wa holland

    ReplyDelete
    Replies
    1. THANKS MPENZI NA MIMI NA WAPENDAJE WADAU WANGUUUU MABUTHUUUU....

      Delete
  10. Mdada kapendeza Sana mbona wakaanga Sumu watakomajeeee na mawivu yao.

    ReplyDelete