Tuesday, February 28, 2012

MY BROTHERS IN STOCKHOLM SWEDEN...

                                                     Robo Hamza + Eric both have swagger
                                                                    Erick $ Hamza again                
                                                       dat the man hem self Eric love u my bro xoxo

17 comments:

  1. wow mkaka sio mchezo dah

    ReplyDelete
  2. swagger za kufa mtu suti zimewakaa hadi maraaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. dah unakuwa na jamaa kama uyu si dunia yote yako rusha shoga yangu au ,,,,,,,,,kaisha waiwa ,,MIE WA DUBAI shule 1

    ReplyDelete
  4. mamablog jamani cjamaliza kusoma yaliyo pita umisha rusha jipya ka babe kangu kalikuwa kanaumwa duh sio mchezo naona utaki viporo kulaza inshu siku 3 au 4 naona hata 2 hutaki we kiboko mama mzungu

    ReplyDelete
  5. toa na mawasiliano bac ni manjuke clara fanya tuonane jamani tokea enzi za chuo nimefanikiwa kuonana na kina f bdo wewe tu na nimeskia upo jijini nimeambiwa

    ReplyDelete
  6. wamependeza c mchezo ,, BABE YA TOBIAS, MKONO WA BRO NAONA UMEKUBALI luv u my kaka ,,,,,,,,,its me BABE YA SIDE muke ya shekh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaaah!! siunajuwa bro mtu wa nondo tena sio nondo za barazani kitu GYM hahahaha lazima kono liumekeee.

      Delete
    2. Dah umenikumbusha mbali nondo za vibarazani mume ya mzungu nimechekaje

      Delete
    3. Dah nimecheka nondo za barazani dah utakuta mtu anavyuma vyake huwani hila hapa kweli gym

      Delete
  7. tumbo flat hime kaa poa

    ReplyDelete
  8. Kaka yenu handsome sikazi watu watukanane humu kwaajili yake,hongereni

    ReplyDelete
  9. Wow wow narudi wacha nile

    ReplyDelete
  10. hatez wamekukubali na wameanza kukuiga fashion zako ndiomana anawambiaga ingieni mkopy sio mnabaki kumponda nywele chacha, lipstiki kama barmedi kumbe mnamponda uku roho zina wapwita mtavipata wapi mumezunguka kuvisaka na bado hamtamfikia weka vitu muke ya muzunguz hatez wanaitika kule taratibu weraaaaaaaa weraaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha umenichekeshaje nimependa hapo wameanzakuitika, hapa mbona wataitika sana tuu waingie kimia kimia wakitaka ku copy sio wanaingia na makelele wana ponda kumbe wanaviwazia wata vipata wapi.Wacha wa copy tuwafundishe swaggaz ndio mana nawaambiaga usiponde wewe copy Hatez. BT waangalie wasije kukwangua vihela vyao vyote wakakosa vya matumizi na watoto me HUBBY yupo kiwandani huwa na google nachaguaa.

      Delete
  11. Wajameni naomba dk 2 tu naenda dukani kwa mangi be right back naona panaaza kunoga na hv kila mara unarusha vitu vipyaa mmmh wakaka watam mmmh

    ReplyDelete
  12. Sio mchezo wakaka wamehenda hewani hadi rahaa

    ReplyDelete