Thursday, February 9, 2012

SHOES SHOES SHOES!

                          Shoes I feel comfortable wearing throughout the day! Love em'...

9 comments:

  1. Muke ya mzungu mie nataka hicho chekundu na blue

    ReplyDelete
  2. Vizuri angalau umejitaidi kuna mshamba flan ye anapiga picha vya dukani anaweka fb kuwa ni vyake usije tufanyia hivyo na wewe mmmm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chupi zitawabana siku mtapokuja kujua kuwa si vya dukani Bali ni vyake. Mi cdhani km kuna mtu anaweza kwenda dukani akaanza kupiga picha viatu afu awawekee ili muone. Huo ni unafiki kwani huyo mtu ni rafiki yenu na mnamzunguka eti mshamba imekuwaje mkamwomba urafiki?

      Clara nice blog and keep it up

      Delete
  3. usijali nitakutumia,wewe umenichekesha na huyo mshamba wa fb

    ReplyDelete
  4. anonymous 4.52 kweli umenena mana huo ndio unafki na kama anasumbuliwa na huyo mtu kuweka viatu fb kwa nini asimfate akamwambia anakuja kumteta mtu huku ,mijitu mingine mishamba alafu inaita wenzake washamba ovyoo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona ee dear, kuna watu wengine wameumbwa kuona wao ndo kila kitu kwamba hivyo viatu aloweka fb km wao hawawezi vi afford wanadai kapiga dukani. Km wanaye as friend in fb means ni rafiki Yao, mwite chamba mwambie hizi ni aibu unatutia na c kumleta huku ukute hata hasomi blog hii na hivi ni mpya. Tuache unafiki bwana. Ila hii blog imenifurahisha sana siwezi isha ipekuwa soon itakuwa juu sana. Big up

      Delete
  5. Mziki wake mnene sai ana piga kazi hata hana mpango na wabongo kabisa.

    ReplyDelete
  6. Hahahaaa Oooh my god those shoes up there hahaaaa uwiiii wat a shame!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umekurupukia wapi? yani bado roho inakutoka na viatu? poleeeeeeeee utaumia sana.

      Delete