Monday, February 6, 2012

THE WAY I LOOK TODAY! OUT AND ABOUT...

                                        
                                          

              Color blocking with my Louis Vutton bag! Look awesome together! It's all about fashion..

8 comments:

  1. Dah umepangilia poa hizo rangi mwaaah

    ReplyDelete
  2. Thx kwa kweli nilikuwa napenda color hila kuzipangilia ndio hilikuwa kasheshe coz lzm uwe mjanja la sivyo itakuwa mix ya utumbo ngoja nami niaze za zngu thx

    ReplyDelete
  3. asante mdau wangu, anonymous umeona color kombo inatakiwa upangilie color zote zinatakiwa ziwe kali rangi ziwake sana lakini zikipooza always inakuwa kama mchafu.tutaliongelea ilo soon.

    ReplyDelete
  4. Dah kimoka hicho sio mchezo kizur

    ReplyDelete
  5. hehehe thanks mpenzi kimoka kipo kwenye fashion hicho.

    ReplyDelete
  6. jamani clara umependeza kama kawaida yako clara wa pamba unakumbuka jina ilo ulibatizwa chuo cbe.

    ReplyDelete
  7. hehehe umenikumbusha mbali mpenzi nalikumbuka jina, senkyuuu

    ReplyDelete
  8. Clara my model as usual hukoseagi..Me admire u always kwa kupangilia..

    ReplyDelete