Saturday, February 25, 2012

TANGAZO..

Hey Guys! 
Ya'll now this blog just opened up and I love that everyone likes it and enjoys it! The only problem is... the fact that people keep mentioning others names in comments.. Others are complaining and I would like everyone to stop mentioning others names!

Thanks ya'll..
Clara Tobias

40 comments:

  1. maskin dada langu umeona uwawekee na tangazo hahaha mimi pia yan sielewi kwanini watu hawakuwi watu wazima jmn dah km una beef na m2 malizaneni uko uko sio kwenye blog na mawivu jmn au kuwa basi na wivu wa maendeleo sio wivu kwa kijinga mmmmm hila mie nimisha jizoelewa mara kutukwana kwenye ma fbook mara vile bac mie haka nimejizoelea mwisho wa siku wanajiona / anajiona yeye ndio mjinga mambo ya kijinga yapo ndani ya dam au malezi ya mtu hila mimi sasa ndio awanisumbui chochote najua naendelea kupumua and life inaendelea bac raaaaaaa tupu

    ReplyDelete
  2. niona niweke na tangazo my ndugu, comment za majina zimezidi live,wewe usitie shaka na hao wapumbavu achana nao wana wivu na wewe longtime my dugu walijaribu hapa wameshindwa kwanza hawakuwezi washamba tuuu wewe unaona wanakuweza nanini? upoooo juuu my ndugu kama ndege ya Obama achana na ma fancuro hao ma abracado coco haya kuwezi. THEN NA WEWE UNAETUKANA HUMU OOOH FLANI MDOMO WAKE MWEKUNDU SIJUWI KAMA NINI MFATE KATIKA ANGA YAKE ULIONA HUO MDOMO USINILETEE DISCO VUMBI HUMU.

    ReplyDelete
  3. Dah my ndugu wewe nawe utulivu ziro eti wasikuletee disco vumbi humu hahahahaa nimecheka kwa sauti alafu sehem ya watu wengi

    ReplyDelete
  4. ndio my ndugu kwanini waniletee disco vumbi lao humu me na disco vumbi wapi na wapi,, niache kwenda kucheza disco NEW WANTASHI, cheka ndugu yangu kwa raha zako uzidi kupendeza kama kawaida yako na ulivyo mzuriii kitenda mimba wetu ndio mana hawaishi wivuuuuu wewe mzuriii wakatae wakubali wewe mzuri wataita majina yote mwaka huuu hahaha, hapa wameingia choo cha kiume.

    ReplyDelete
    Replies
    1. watamuweza wapi.wakaoge washamba kutwa kusema watu@edina mwaijibe

      Delete
    2. my ndugu nimeipendaa hii wakaoge wakaoge watakate mana wengine rangi kama wametoka kucheza kwenye vumbi wakijiremba utathani wametoka kujipaka majivu poda inakataa. HAYA UJUMBEE HUOOO KAOGENIII JAMANIII.

      Delete
  5. Hahaha yaani Clara umeonaa ehee wanamuonea wivu Recho wawatu ooh Mama wawili hata angekua Mama watatu nini wawili,kinachomatter ni uzuri wake,nakawafunika mbaya,keep it up ma Wii Recho upo juu,mimi penda sana wewe.miamor

    ReplyDelete
    Replies
    1. wii wako mzuri ndio mana ananyima watu usingizi, wao choka mbaya BMW hahahaha.

      Delete
  6. Shoga naona umeamua uwape na tangazo

    ReplyDelete
  7. Clara recho ni yule mdogo wako wa mwisho? Ndio hilivyo ukimzidi mtu na kitu bac lazima wanakufuata fuata sazote ebu niwekee picha simkumbuki

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio yeye anapeleka watu mwendo wa ngiri, hawalali, hawanywi vikanyweka sasa ana anapeleka watu kuwa wenda wazimu hahahaha.

      Delete
  8. group la watu zaidi ya kumi mnashemshwa na watu wawili wale kweli wanawake wa shoka wanajiaminia mbaya .mara mnawaweke vigenge mara mnawatukana faceb wenye wapo manina wabishi kama alshababi wale hamuwawezi wacheni tu ile pasua kichwa bana

    ReplyDelete
  9. chacha nyinyi.wajameni munawasemaaa mpaka bongo ondoa sweden.na wakati wasema.mnaona wanakosea mbona nyinyi hamjioni mnakosea yani hapa makavu makavu mnavyooon raha kupepata yao na wao wanayapepeta yenumara kumi hapo

    ReplyDelete
  10. kunawengine humu hawajielewi si makosa yao shari wamezizoea tangu tumbon mwa mamazao so hapa duniani tunawachukulia tu kam ulivyoo kusutana wao mapress comfirence wao .waume za watu.wao sina mengi napita tuuu

    ReplyDelete
  11. jamani hii kiboko kwa mahana du kwani yule angalia Bongo vp blog imezikwa au yani kafungua blog yakurusha mastaaa yeye choka mbaya vijijin

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe mtu samahani mambo ya angalia bongo neenda kwenye site yake sio hapa sitaki unafki.

      Delete
  12. leteeee raha muke ya muzungu wewe kwako wameingia choo cha kiume hawakuwezi ndio mana waishia kutapatapa babe ya side achana na washamba hao wana wivu na maisha yako

    ReplyDelete
  13. hao watu wawili kazi hawana na mawivu yao ndio mana wanagombana na kila mtu ma dada wana wivu wale khaaaaaa nawangekuwaga wajanja sijuwi ingekuwaje mimi nafurahi kweli ninavyo waonaga washamba washamba afathali wachambwe warekebishike wamegombana na kila mtu na yakila mtu wanatakaga kujuwa wao yakwao yamewashinda na wewe mjinga mwenzao unawaunga mkono badala ya kuwaelimisha jamani nyie madada jirekebisheni kuweni na wivu wa maendeleo sio flani kavaa nini kafanya nini ukamtukane. MPITA NJIA

    ReplyDelete
  14. Jamni watu wanamashauzi ukiona wanavyoishi mmmmh balatuuu

    ReplyDelete
  15. Mpingo wa kijijini upoo

    ReplyDelete
  16. TAFADHALI WEWE BINADAM, NA TUESHIMIANE HIO STAIL YAKO KWA KWELI SIJAFURAISHWA NAYO YA KU POST COMMET KWENYE BLOG YA JALUX NA UNATUNANA UKO THEN UNAMALIZIA JINA KUWA NI MAMA P HII SASA NI MARA YA 2 ,,, NIKAONA BORA NIJITENGE NA WATU SASA NAONA UMEAMUA KUNITAFUTA TENA KWA KUPITIA BLOG KWA NINI USIANGALIE MAISHA YAKO? AU KUNA NILICHO KULIA , UA UNANIDAI KITU MPK UTAKE UMAARUFU KWA KUPITIA JINA LANGU MBAYA ZAIDI UMAARUFU WENYEWE NI WA KUCHAFULIANA MAJINA KUFAMIHANA HAPA SWEDEN HISIWE TABU YA KUCHAFULIANA MAJINA TENA NAZANI WEWE UNAEANDIKA HIZO COMMET UKO NI MTU MZIMA TU NA AKILI YAKO NIACHE MWANA WA MWEZIO BAC UFIRAUNI WAKO USINILETEE MIMI na kama unadata na maisha bac PACK UR THINGS RUDI BONGO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eee huku Pia moto ukiwaka kweli hatari

      Delete
  17. hahaha nyie mnabishan na huyo mpiga ramli wa mbagala mshamba tu huyo asiwapotezee mda .ndio kwanza x mass ya kwanza kuilia sweden atabisha na nyie divas za kijaluo .atafute ajira kwanza social washamkifu

    ReplyDelete
  18. Haoooo si afazari angalia bongo anaweka mastar lakini haweki majungu kuliko nyinyi wazee wa majungu duh mnashambuliwa kama nyuki hamjishangai watu wote wasiwapende nyinyi tu,basi mjijue mnakasoro,alafu baada yakubadilisha post kwenye blog yenu,mnahangaika kuchokonoa blog za wenzenu nakutukana ovyoo

    ReplyDelete
  19. Mnaona sasa mnavyojitaja?eti ooh watu wote mnatushindwa sisi watu wawili hahaha kweli wahenga walisema mtu mchawi mkabidhi mwanao,tumewakabidhi maneno yenu sasa mwaanza kujitaja hahaha hamna hajayakujitaji tushawajua kizaaa,mwisho mtajiweka na majina,tatizo shuleeeeee

    ReplyDelete
  20. Wewe unaegombanisha watu kwa kutumia majina yao una la ku commet kwenda zako

    ReplyDelete
  21. Wewe nae unae taka kujua mambo ya angalia mbongo km yupo au kazikwa bac tembelea kwake usituletee uchuro humu

    ReplyDelete
  22. clara mshamjua huyo mshamba wa mbagala mpotezeeni tu na ujinga wake

    ReplyDelete
  23. hahha ushashtukiwa ishakuwa mission impossible bibie umetushindwa sie sasa unahamia angalia bongo ili aone sie ndio tunamtusi huna jipya jipange unafki haukupi maendeleo endele kupigia watu simu ivo ivo uwambie tunawatukana, mganga wa mbagala wee

    ReplyDelete
  24. Mama p Kuna blog kibao kwanini watu wasitukane kwenye hizo blog nyengine kwakupitia jina lako watukane kwao?waongo hao waliamua tu kutukana alafu wanadanganya mtu katumia jina lako ovyoo

    ReplyDelete
  25. Hahaha ajira yakifagio hahaha never,social watanichoka sanaaa ila nakomaa na shule,haujioni ulivyokomaa kwakusafisha vyumba walivyolalia wenzio,wacha nitakuja kulala na mpenzi wangu ilitusafishie kwikwikwi

    ReplyDelete
  26. Kama kumbukukumbu yangu inanipa vizuri uganga huo simlikua mnautumia sana wakati mnahisi kiumbe chenu tumboni kinataka kuchezewa na shoga yenu mpenzi c...ka najua mshamalizia hilo jina hahaha sijui mwenyewe anajua kama mlimsingizilia uchawi,mhh jamani tuangalieni hawakitu kidogo wanahisi wamerogwa,uchawi umewakaa sana kichwani thats why mhhhj

    ReplyDelete
    Replies
    1. moto mmmh mambo ya waganga tena mmmmh yn mpaka kitu kipo tumboni kina rogwa kweli hii kiboko

      Delete
  27. Haooooooooo blog yao imedoda sasa hivi kutwa Wapo humu,mwenzenu yake inamiezi miwili tu ila watu woteeeeee tuko humu hahaha Hadi nyinyi duhh fungueni mpya basi labda tutawafikiria

    ReplyDelete
  28. Duuu jamani u women are so sick!!!!!am happy i saw it very early!! Lycka till!

    ReplyDelete
  29. Hahaha yakwenu ndiyo imekuwa mission impossible haha mmeona tunapatana na wifi zangu vikawachoma mkaona mtafute njia yakutuchonganisha keataarifa yenu imekulakwenu ndiyo kwanza mnetufanya tuzidi kupendana,wengine hatuna haja yakujitetea sanaaaaa tunajulikana tu tabia zetu kama hatuwezi kutukana,haha huko angalia bongo mpaka juzi unemtukana na tumeona comment imetoka Norrtälje lol badilikeni kaeni chini mjiulize kwanini watu woteeeeee wawachukie nyinyi??sisi wengine kwanini tupendwe?????

    ReplyDelete
  30. Calling someone fake won't make you real.Calling someone ugly won't make you pretty.Calling someone stupid won't make you smart,dont think your smart by using other peoples name,miamor

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa msisitizo na ki english juuu

      Delete
  31. Miamor nakingereza juu unatisha

    ReplyDelete