Monday, March 19, 2012

BEST FRIENDS FOREVER NO MATTER WHAT....

                                       Sara the owner of Angalia Bongo with my lovely wii Linda Miamor

27 comments:

  1. Haswaa ma Wii huyu ni BFF wangu wa ukweli me love her alot

    ReplyDelete
    Replies
    1. yani unahaha kama umelishwa sumu utulii mwanamke kila pumzi waitaka wewe haya nyaki mshatibuana au ndio ushamtangazia kila pande bwanae aenda kuoa khaa kwa umbea sikuwezi na ndio mana nimefuta namba yako na wala usudhubutu nipigia umenitoka bora nilitonywa juu ya tabia yako sasa nimeshakujua

      Delete
    2. eti nyaki ushagombananae ndiyo mawazo yenu finyu hayo?nyinyi mnazani sisi tunagombana ovyo kama nyinyi nyooo hapa imekula kwenu hagombani mtu hapa tushawajua kitaaambo furaha yenu nikuona watu wanagombana haoooooooo mmedoda safari hiii pwiiiiii,alafu eti namba yangu umefuta sasa kati ya mimi na wewe nani kaanza kutafuta namba ya mwenzie na kujiongelesha,ulifikiri ukijiongelesha nitakuchekea safari hii ni buyu lakufa mtu hatuwataki bakieni wenyewe wa2 kama mashetani maana mkiwa nyinyi tu hapakaliki kutwa umbea na ugomvi mhhh chefuuuuuuu

      Delete
  2. mbona wamevimbiana hivyo kulikoni

    ReplyDelete
  3. jamani uyu andunje yupo eee na lipua lake kubwa

    ReplyDelete
  4. wafupi kama kimba

    ReplyDelete
  5. mijana mke kwa kuchukua wa ume zawatu

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahaaa uyu ndio alikuwa analilia awekwa kwenye darstockholm na yule mme wa mwindi jamani anatafuta jina kwa mabavu asante ... kwa kunileta kwenye hii blog mana shost kila pande anazungumziwa bora leo nimemwona na huyo mwingine nani?nijibuni mie mgeni humu

      Delete
    2. ze udaku hahaha nani tena mwenye mkewe muhindi halo halo lete maraaaa

      Delete
    3. uyu mwingine bibi yako mzaa mama yako

      Delete
    4. sasa si bora mwenzio anachukua mume wa mtu kuliko wewe ulienda dar ukachukuliwa na mimba yako kwakufundishwa gari tu?alafu unajiita mke wa tu hahaahh halooooooooo mke wa mtu huku ukienda bongo unacheat mhhh hujiheshimu mke wa mtu gani wewe?

      Delete
  6. Yaani unachosea hutumi muda tofauti hizo comment zinapishana dakika,hivi utapata lini usingizi?maana nakukosesha kweli usingizi ndiyo maana unakondea ila by the way ukibishana na chizi watu watakuona na wewe chizi,sina muda huo mchafu wakujibishana na wewe ninasoma mie ilinifike Chuo upo so mda wamatusi ma dia sina tena,labda utafute tena namba yangu ya simu uhamie kunitukana tena kwenye simu.huyo mume wa mtu kwakifupi simuachi as long as wanaoniweka ni Dada zake pole sana.chao

    ReplyDelete
  7. Kumbe inawauma ninavyowekwa kwenye mablog hahaha mbona raha,siombi kuwekwa wanajisikia tu hahaha kama nyinyi mlivyonikubali mkaniweka kwani niliwaomba hahaha weka mambo ma Wii niwakoseshe usingizi

    ReplyDelete
  8. Summer inakuja watalii ni wengi bila shaka utakuwa bize maana CHEAP hotell nyingi zinajaa na ya watu utayatua!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Haswaaa bota summer ije atulie kufatilia ya watu apinde mgongo,maana kama unakazi ya maana huwezi pata mda mchafu wakutukana humu ndani na kuwapigia simu watu wa Farsta nakuulizia Linda alivaaje,ooh Linda alikuja ooh Linda Linda why the fuck r u following my life bit***h

    ReplyDelete
  10. Wewe hapo juu uliyenitaja jina langu unikome,nimeshakujua ni nani?mmezoea kunigombanisha na watu safari hii mmenoa.unafikiri siwajui sio?mmezoea kuchokonoa ya watu na kutukana watu,Sasa tukananeni nahaohao sio Mimi mkome.Lilian nyakisinda

    ReplyDelete
  11. CHEUSI MANgaLa tatizo una rafiki ndio manauna wivu na watu wakiwa marafiki huyooooo!!nakujifanyA unajua kila kitu!!!mtu akikutambulisha kwa mtu unaongea umea kibao yani Mimi siwapendi wewe na dada yako wachonganishi wakubwa jiji zima mnajulikana.

    ReplyDelete
  12. CHEUSi MaNgAla unawambia wemzio wezi wa waume za watu mbona wewe ulimuiba huyo unaejieta mumeo kwa kununua Pombe?kwani watu atujui!!! Kama alikupenda angekutongoza sio wewe kujitongozesha kwa kumnunulia MAPOMBE!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mamaaaa kimbiza kamata kimbiza kamata mwizii huyooo huyooo wanguo huyooo sasa tafsiri kwa kiswed habari ndio hiyo

      Delete
  13. jamani cheusi alijitongozeza kwa kununua pombe tobaaaa ilikuwa wapi hio

    ReplyDelete
  14. Haya Beyonce shost wake first lady wengine hata mashost hawana!taaaabu kwelikweli!!!!

    ReplyDelete
  15. You guys have to grow up and leave this shit behind coz its so so childish and unhealth.Honestly sijawahi kuona utoto km huu hata kdg wamama wenye watoto kufanya kitu km hiki jamani afu hadharani km hivi sisi wanawake wakati mwingine acheni tu tudharauliwe coz tunataka wenyewe.
    Yeyote anaeingia humu na kushadadia kwa namna moja au nyingine ataumbuka tu juu hawa watu ni waarabu wa pemba hukawii kuwaona wanacheka na kuhave fun pamoja i swear to God soon mtaliona hilo na mimacho itawatoka.
    Dada mwenye blog pliz no more comments inatosha this is ambarasing hata km ungekuwa wewe hebu tusitiriane at once hawa ni wanawake km wewe INATOSHA INATOSHA PLIIIIIIIIIIIIIIIIIZ.

    ReplyDelete
  16. Cheusi alikua anatafuta karatasi hiyo,,raha ya mapenzi ni kupendwe sio kulazimisha mapenzi huyooooo cheusi anajishauaa sana !!alijitongozesha kwa pombe!!..

    ReplyDelete
  17. WEWE MWENYE BLOG UNAONEKANA KUFURAHISHWA SANA NA HUU UGOMVI?WEWE NI MCHONGANISHI SANA HIZI COMMENT UNAZIWEKA ZA NINI KAMA SIO UCHONGANISHI?

    ReplyDelete
    Replies
    1. TENA UNIKOME NA USHIKE ADABU YAKO IKUSHIKE USHIKIKE HASWAAA, NILIMRUSHA LINDA NA SARA HAYO MASHUDU MENGINE HATASIKUJUWA YANATOKEA WAPI KWANI WALIONA BLOG YANGU NDIO YAKUENDELEZEANA BIFU LAO HUMO? SASA KAMA WANACOMMENT MIMI NIFANYE NINI? KAZI YANGU KURUSHA KAWA STOPISHE WEWE LIVE KAMA UPO NAO. PUMBAVU ZAKO.

      Delete