Wednesday, March 14, 2012

HOW DO I LOOK? XOXOXO.....


                                             Mother Blog ready to go out and bout.

16 comments:

  1. Wacha we umependezaje

    ReplyDelete
  2. Shoga unakimbizaje CBE

    ReplyDelete
  3. Nimesalendaaaaaaa mpz

    ReplyDelete
  4. Napita wacha nikoge naja umewakaje

    ReplyDelete
  5. you look sexy mpenzi yani umependeza hasa

    ReplyDelete
  6. Ma Wii u rock baby

    ReplyDelete
  7. pamba za ukweee lakini we mvuto huna cjui kwanini yani huna mwili wa kupendeza tofauti na nduguzo kina tina naeza sema bado hujajulia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini si umemkubali hana pamba za ukweli yani we umfikiiii ng"o

      Delete
    2. hahahaha thanks kwakunikubali pamba zangu, na huwezi kujuwa kwa nini kwasababu wivu unakuuma na bado utajiuliza kwnini sana, me ndio kwanza kumekucha fanya fanya ucopy mapamba we mshamba unakuja kucopy na mawivu kibao nitakutoa roho mwaka huu.

      Delete
    3. Jiwe la tako paaaa yalaaa nikija Tz sijitena kwenye vidimbwi vya coco bichi

      Delete
    4. Mother blog wapendeza

      Delete
  8. Mother blog umependeza yn ume look poa ... No makorokocho

    ReplyDelete
    Replies
    1. mother blog hakuna kubahatisha, no makorokoro pendeza sana my ndugu

      Delete
  9. Yalaaaaaaaaa nani karusha jiwe?
    Hajajulia nguo kuna picha kavaa suruali kichwani badala ya miguuni????
    Na bado,mbona mtaomba ukumbi mkae chini muwajadili?!!!!!!!!!!
    Halafu wao waleeeeeeeeeeeeeee...........

    ReplyDelete