Friday, March 9, 2012

FRIDAY WITH FRIENDS AT HOME XOXOXOXO



                                          Mother Blog prepare to welcome friends
                                            Koiya, Aisia, Fatma and my sweet baby Naila

                                                                  Jacqueline Wolper                                                                    
                                                               Rockin em shades
                                                               Fatma and her sister inlaw


                        Mother Blog with Jacqueline (Amber Rose) xoxoxo

11 comments:

  1. mother blog tunakomajeeeeee na wewe big up unajitaidi na blog yako nimeipenda sio kama blog zingine upo kitofauti mana blog zingine wao waambie kurusha macelebrity akijamba beyonce kesho blog zote stori ni beyonce kajamba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha thanks my mdau umenichekeshajee eti akijamba beyonce kesho blog zote story ni kajamba beyonceeee, me natoka kivingine hao ulimwengu mzima unawajuwa kwaio mie siitaji ishu zao kwa sana, me napenda ni create vitu vyangu mwenyewe na watu wangu, fans wakishatoka kuangalia huko blog zote story ni beyonce kajamba wakija hapa wanakutana na vitu vingine vipya sio ishu ileile.

      Delete
  2. Kweli tunakoma tobaa wacha narudi nilikuwa napita

    ReplyDelete
  3. Umependeza na mashoga zko naona upo na Jack

    ReplyDelete
  4. Wow wow wow l like ur bwangaring full kijiachia

    ReplyDelete
  5. Thanks my wadau nawapendajeee mabusuuuuuu.

    ReplyDelete
  6. Naona Jack mkorogo umemkubali AMber Rose wetu wa Bongo taiti imetoboka kweli uyu Rose wa Bongo

    ReplyDelete
  7. yes umemkubali kwasababu hana stress na maisha ela ipo, kazi kwako wewe unaodunda kwasabu una stress na maisha yako na wivu na maisha ya watu, kwani ajabu tight kuchanika mbona watu wanavaa suruali zilizochanika? peleka ushamba wako mbele huko. miwivu itakutoa rohoooo.

    ReplyDelete
  8. Ma Wii uko juu bwana,tokea umefungua blog unatuwekea marafiki waukweli yaani ukiwa wa ukweli lazima na rafiki zako wawewaukweli,Pia napenda style zako za picha,haupanii yaani unapiga ukiwa simple kwakua unajiamini,sio wengine kwanza wajipambee weeee kwenye vioo mara mbilimbili nakugongongo juu ilimradi tuwaone waukweli kumbe ukweli utabaki pale pale viwango vyao duni,keep it up my wii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Senkyuu sekyuu wii wangu mwenyewe mamma tingisha homa ya jiji la stockholm hapana chezea wewe, mabusuuu hahahaha.

      Delete