Monday, March 19, 2012

MY SISTER-IN-LAW IN HER GORGEOUS GOWN XOXOXO.....

                            

                                                 No one like you My wii xoxo

26 comments:

  1. Thanx My Wii me love u xoxo

    ReplyDelete
  2. jizi la mume wa mtu tafuta wako bac

    ReplyDelete
  3. haya wifi yako sawa mbona atujaskia ndoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. anapesa ya kujichubua mwili mzima au unataka akaibe kwenye maduka ya kiafrica siwatamchoma moto kwikwikw embu ije shughuli nyingine nilione tena mana linanichekeshaga linavyojishebedua likiona watu

      Delete
    2. Wewe kinakuuma nini nikimuita wifi yangu? ndoa kitu gani mpango mzima kukubalika kwanza nasi tushamkubali wenyewe ndio wifi yetu, endelea kutega sikio na ndoa utaisikia humu humu.

      Delete
  4. kichefu chefu mkorogo paka na mgongoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaonekana unamkubali mpaka umekosa cha kuandika,unatuandikia upuuzi,mshamba mkubwa@edina

      Delete
    2. oooh edina hivi wewe ndio ule mkorogo wa juzi miguu imeungua

      Delete
    3. hivi wewe unaekosaraha na rangi zawenzio siukapake na wewe huo mkorogo mana umezidi sasa kutwa mkorogo mkorogo heeeh!! TUMEKUCHOKA. mkorogo wake anapaka kwahela yake kinakuuma nini? wewe tulia narangi yako wacha mawivu yako humu na makelele. PUMBAVU

      Delete
  5. Hahaha nafurahi sana ninavyowakosesha usingizi,hata kuitwa wifi Pia mnamind hahaha jamani ni vijimambo tu,wacha nijisomee niwaache mambumbumbu muendelee kutukana matusi yangu nitawatukana nikimaliza Chuo hahaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. tunasubiri shuguli nyingine tena tukuone mpana kama kabati bayaaaa na wala ujieshim jifunze kujieshim sehem ya watu wengi lione

      Delete
  6. Wengine umaarufu tumezaliwanao mbona mtakoma hahaha nawakoseshaje usingizi mwaka huu mtaongea mwisho mtamaliza maneno Sasa mnaishia kutunga fantasi hahaha still Linda miamor,i thought i told ya m à star!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. nyinyi madada weusi kama mkaa ni ma HATERS NYINYI mwenzenu kukubalika kidogo tu mshaanza maneno maneno badilikeni watu wamewachoka.kwakua nyinyi hamji kwenye misiba ya watu ndiyo mnataka na yeye asije?na hiyo Darstockoholm kwani kawekwa peke yake wale wengine hamuwaoni?badilikeni tutoleeni umbea wenu hapa.blog yenu inawashinda huko mnaweka upuuzi mtupu mnaanza kuingia blog nyengine kutukanana,kwakipi kikubwa huyo linda alichowafanya?kutembea na huyo ERICK au?kama bado mnamtaka simmwambie awaachie matusi ya nini sasa?watu wengine ulaya wamekuja by mistake lah.tubadilikeni wanawake wa sweden ma beef mpaka lini?mnamwagiana masiri kibao humu kutufaidisha watu wengine mambo yenu ambayo tulikua hata hatuyajui,alafu baada ya miezi kazaa tunawakuta mnaongea wakati masiri yenu yako wazi ndiyo nini sasa ovyoo!linda tunakukubali na tunakushukuru kwa ushirikiano wako mzuri kwenye misiba achana na HATERS

    ReplyDelete
  8. Kweli blog ni kama kioo cha jamii sasa jamii fulani imeoneka kuwa ubongo wao finyu!!!!!!!!!!na wanaushirikiano wa kuambukiza ujinga virus.hakuna mwenye akili ya kumwambia mwenzie ujinga acha ila ndo Kwanza nae anajiambukiza!!!!
    Kwani walienda au washawahienda shule?

    ReplyDelete
  9. Isn't it weird how people talk Shit about you when the only thing they actually know about you is you NAME.we love you miamor

    ReplyDelete
  10. Watu wa Farsta wamechoshwa na simu Zako za kuulizia maisha yangu bitch get à life and leave my life the fuck alone

    ReplyDelete
  11. Wewe cheusi mangala mbona unashida sana paka na mkorogo basi Manake unakukela sana!! Hivi wewe kweli unamda atawakumpikia mumeo chakula kizuli?kweli kutukwenye mablog kutukana wemzio tumekuchoka.CHEUSI MANGALA(. Chaumbea mkubwa.)

    ReplyDelete
  12. Cheusi mangala ni nani?weusi mangala ni wengi

    ReplyDelete
  13. hebu kuweni watu wazima muwache huu upuuzi pliz streetbook usiweke tena comments tjuze mapya

    ReplyDelete
  14. Cheusi mangaLa ni huyo anaejiita Mama bujumbula...(cheusi MANGALA.)

    ReplyDelete
  15. mpita njia nauliza hawa wadada weusi mmoja yupo mji mwengine na mdogo wake mji mwengine lakini kama wako mji mmoja kwa umbea maana kila mtu anampa mwenzie umbea wa mji wake nasikia wakipigiana simu baada yakuongelea maendeleo na mambo ya maisha wanakaa kuzungumzia watu hata masaa ma2 duh wanakazi kweli kweli,nasikia wanateta mpaka ndugu zao walio zaliwanao tumbo moja mhh hawa wameshindikana walahi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii blog ni mbaya but thats not the point... point ni kwamba watu mliokuja juzi juzi na maboti na kujilipua mnatia aibu sana sana sana aibu yenu mnayotupa wengine si ya kawaida... SHULE NI BURE JAMANI NENDENI SHULE LABDA tutawaheshimu kama wachache wanaoheshimika wenye elimu, kazi zao, na maisha yao... yani nyie ni uchafu wa uchafu na sijui mmeingiaje ingiaje mmekuja kuchafua tu nchi na uchafu wenu... na mikorogo... na nyie vyeusi tulizeni boli...

      Delete
    2. HAHAHAHA KINYUME CHA MBAYA NI NZURI NDIO MANA UNAINGIA NA VINAKUUMA VILEVILE NA BADOO TAFUTA SUMU YA PANYA UNYWE, NIONDOLEE MASHUDU YAKO HUMU. NABADO MBONA UTAKEREKA SANA MWAKA HUU NA KAMA BLOG NAYO INAKUUTHI NDIO KWANZA MOTHER BLOG KUMEKUCHA KWANGU....NINA RUSHA WATU KWA RAHA ZANGU SIKWAMBA NIKIMRUSHA MTU HUMU NIMESEMA MJE MUMTUKANE NI WIVU WENU NDIO UNAWASUMBUA WENGINE UKIJUMLISHWA NA WEWE, NDIO MANA HUNA POINT UMEKAZA NA MIKOROGO BLA BLA BLA KIBAO.

      Delete
  16. we acha tu na kama hiyo haitoshi kuna wifi m2 huyo weeeeeeeeeeeee kwa kutoa habari za familia huyoooooooooooo hajambo yani mpk taarifa za watu kuumwa ye kazisibitisha kudadadeki,m2 akiemwa tayari ashamwambia yani ha ha ha ha ha ha si yakucheka haya

    ReplyDelete
  17. Tatizo mnapenda sana maneno mkisha chambwa ndio mnataka comment zitolewe.sasa hivi tutawachamba mpaka mtakoma badilikeni kitabia watu wamewachoka sana...ndio mana wanawachamba sana na bado msipobadilika tutazidi kuwachamba!!!!moto mmeuwasha sasa mbona mnakimbia(CHEUSI MANGaLA)

    ReplyDelete
  18. Mama blog wasikutishe wewe weka hizo Comment kwa raha zako!!mbona blog yao imedoda kwendeni ukooo..MaNgaLa.

    ReplyDelete