mother blog tunakomajeeeeee na wewe big up unajitaidi na blog yako nimeipenda sio kama blog zingine upo kitofauti mana blog zingine wao waambie kurusha macelebrity akijamba beyonce kesho blog zote stori ni beyonce kajamba.
hahahaha thanks my mdau umenichekeshajee eti akijamba beyonce kesho blog zote story ni kajamba beyonceeee, me natoka kivingine hao ulimwengu mzima unawajuwa kwaio mie siitaji ishu zao kwa sana, me napenda ni create vitu vyangu mwenyewe na watu wangu, fans wakishatoka kuangalia huko blog zote story ni beyonce kajamba wakija hapa wanakutana na vitu vingine vipya sio ishu ileile.
yes umemkubali kwasababu hana stress na maisha ela ipo, kazi kwako wewe unaodunda kwasabu una stress na maisha yako na wivu na maisha ya watu, kwani ajabu tight kuchanika mbona watu wanavaa suruali zilizochanika? peleka ushamba wako mbele huko. miwivu itakutoa rohoooo.
Ma Wii uko juu bwana,tokea umefungua blog unatuwekea marafiki waukweli yaani ukiwa wa ukweli lazima na rafiki zako wawewaukweli,Pia napenda style zako za picha,haupanii yaani unapiga ukiwa simple kwakua unajiamini,sio wengine kwanza wajipambee weeee kwenye vioo mara mbilimbili nakugongongo juu ilimradi tuwaone waukweli kumbe ukweli utabaki pale pale viwango vyao duni,keep it up my wii
mother blog tunakomajeeeeee na wewe big up unajitaidi na blog yako nimeipenda sio kama blog zingine upo kitofauti mana blog zingine wao waambie kurusha macelebrity akijamba beyonce kesho blog zote stori ni beyonce kajamba.
ReplyDeletehahahaha thanks my mdau umenichekeshajee eti akijamba beyonce kesho blog zote story ni kajamba beyonceeee, me natoka kivingine hao ulimwengu mzima unawajuwa kwaio mie siitaji ishu zao kwa sana, me napenda ni create vitu vyangu mwenyewe na watu wangu, fans wakishatoka kuangalia huko blog zote story ni beyonce kajamba wakija hapa wanakutana na vitu vingine vipya sio ishu ileile.
DeleteKweli tunakoma tobaa wacha narudi nilikuwa napita
ReplyDeleteUmependeza na mashoga zko naona upo na Jack
ReplyDeleteWow wow wow l like ur bwangaring full kijiachia
ReplyDeleteThanks my wadau nawapendajeee mabusuuuuuu.
ReplyDeleteNaona Jack mkorogo umemkubali AMber Rose wetu wa Bongo taiti imetoboka kweli uyu Rose wa Bongo
ReplyDeleteyes umemkubali kwasababu hana stress na maisha ela ipo, kazi kwako wewe unaodunda kwasabu una stress na maisha yako na wivu na maisha ya watu, kwani ajabu tight kuchanika mbona watu wanavaa suruali zilizochanika? peleka ushamba wako mbele huko. miwivu itakutoa rohoooo.
ReplyDeletempo juuu
ReplyDeleteMa Wii uko juu bwana,tokea umefungua blog unatuwekea marafiki waukweli yaani ukiwa wa ukweli lazima na rafiki zako wawewaukweli,Pia napenda style zako za picha,haupanii yaani unapiga ukiwa simple kwakua unajiamini,sio wengine kwanza wajipambee weeee kwenye vioo mara mbilimbili nakugongongo juu ilimradi tuwaone waukweli kumbe ukweli utabaki pale pale viwango vyao duni,keep it up my wii
ReplyDeleteSenkyuu sekyuu wii wangu mwenyewe mamma tingisha homa ya jiji la stockholm hapana chezea wewe, mabusuuu hahahaha.
Delete